Watu 52 wameuawa, 5 hawajulikani waliko Bolivia wakati wa miezi 3 iliyopita ya mvua kubwa
Takriban watu 52 wamekufa katika nchi ya Amerika Kusini ya Bolivia kutokana…
Mashirika ya serikali na binafsi ya kutoa misaada Haiti yaripoti kuibiwa vifaa vyao
Mashirika kadhaa ya serikali na yale ya kutoa misaada nchini Haiti yameripoti…
Watu 15,000 wanajiunga na mbio za kuwawezesha wanawake mjini Addis Ababa
Watu zaidi ya 15,000 wameshiriki katika mbio za haki za wanawake za…
Rais Vladimir Putin achaguliwa tena kwa 87% ya kura katika uchaguzi wa rais nchini Urusi
Rais Vladimir Putin amechaguliwa tena kwa 87% ya kura katika uchaguzi wa…
Bodi ya utalii TTB yatangaza fursa za utalii Kanda ya Kusini
Bodi ya utalii nchini TTB Imewaleta mawakala wa safari za watalii kutoka…
Kamati ya kudumu ya bunge ya utawala ,katiba na sheria yaridhishwa na mradi wa shamba la parachichi
Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba linayoongozwa na Mheshimiwa…
50 Cent ameanzisha tena beef na Young Buck juu ya LGBTQ+
50 Cent ameanzisha tena beef yake na aliyekuwa member wa G-Unit Young…
Man City kusajili kinda mwenye kipaji hatari
Manchester City wameshinda mbio za kumsajili chipukizi wa Cardiff City Timeo Whisker,…
Ruzuku ya mitihani ya 83% imetolewa kuwezesha kutekeleza malengo ya taasisi ya elimu:Dkt. Said Mohamed
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt. Said Mohamed amesema…
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani…