Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii yapongeza utekelezaji wa miradi ya upangaji matumizi ya ardhi vijijini.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara…
UNHCR: Mtoto 1 kati ya kila watoto 2 wakimbizi ana utapiamlo Ethiopia
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limefichua kuwa, mtoto…
‘Hakuna Mkenya atakayelazimika kuuza mali yake ili kulipa bili za matibabu,” Rais Ruto
Rais William Ruto amewataka Wakenya kujisajili katika Hazina ya Bima ya Afya…
Baba wa kambo atuhumiwa kubaka watoto wake wawili wa kufikia,UWT kulivalia njuga
Obadia Mwalyego mkazi wa Itulahumba wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe anatuhumiwa kuwabaka…
Jeraha la Gordon sio baya :bosi wa Newcastle Howe
Jeraha la goti la winga wa Newcastle Anthony Gordon si baya sana…
‘Mimi nipo sawa kabisa na ninaendelea kupoa’ :Wema Sepetu
Star Wema Sepetu leo hii amekutana na waandishi wa Habari kuzungumza nao…
Hii ndio ratiba ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champions League msimu 2023/2024
Chama cha soka Ulaya (UEFA) leo kimechezesha droo ya kupanga michezo ya…
Chama cha ACT chataka kijibiwe hoja zao 3 na CCM,chaonesha nia ya kukutana na rais Samia
Chama cha ACT Wazalendo kimeweka bayana dhamira yao ya kuonana na Rais…
Zanzibar yaruhusu uuzwaji wa ndizi za bara baada ya miaka 17
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amesema Serikali…
Mwanafunzi alietoroka kwao kuelekea Marekani apatikana
Mwanafunzi Gift Lema aliyekuwa akisoma katika shule ya Sekondari Ritaliza,iliyopo katika Kata…