Idadi ya vifo katika ukanda wa Gaza sasa ni 31,045
Wizara ya afya huko Gaza inayoendeshwa na Hamas ilisema siku ya Jumapili…
Mafuriko Indonesia yaua takriban watu 21
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi katika kisiwa…
Waziri Mkuu wa Chad aliyeteuliwa kuwania urais 2024
Waziri Mkuu aliyeteuliwa na serikali ya Chad ametangaza kuwa atagombea uchaguzi wa…
Waendesha daladala wameweka mgomo kwa muda usiojulikana
Kutokea Mwanza waendesha Daladala wameweka mgomo kwa muda usijulikana huku chanzo kikitwaja…
Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo kugombea tena uchaguzi 2025
Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amekubali kupeperusha bendera ya…
Detaramo Limited imetoa misaada mbalimbali kwa watoto wenye uhitaji Ijango zaidia Orphan Centre
Katika kuadhimisha miaka kumi (10) tangu kuanzishwa kwa Kampuni ya Detaramo Limited,…
Takriban watoto 300 walitekwa nyara kutoka shuleni mwao na watu wenye silaha Nigeria
Wazazi wa watoto waliotekwa nyara nchini Nigeria walisubiri kwa hamu kusikia habari…
Ukraine imekosoa vikali wito wa Papa Francis kwa Kyiv kusitisha vita na Urusi
Ukraine imekosoa vikali wito wa Papa Francis kwa Kyiv kufanya mazungumzo ya…
Waisraeli wanapinga vikali kuweka Mamlaka ya Palestina Gaza’: Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alielezea upinzani wake siku ya Jumapili…
Umoja wa Afrika walaani vitendo vya kuwateka nyara watu nchini Nigeria
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani mashambulizi yanayozidi kuripotiwa kaskazini…