Wanahabari watakiwa kushirikiana na jamii matendo ya huruma
Waandishi wa Habari wametakiwa kushirikiana na Jamii inayowazunguka katika masuala mbalimbali ya…
Sekta za kifedha zatakiwa kuja na hatua za muda mfupi kusaidia kukabiliana na uhaba wa fedha za kigeni nchini
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amezitaka sekta za kifedha kutumia kongamano…
TikTok iko katika hatarini kufungwa nchini Marekani
Mswada wa Baraza la Wawakilishi ambao unalenga kupiga marufuku TikTok nchini Marekani…
Wanafunzi zaidi ya 287 watekwa na watu wenye silaha Nigeria
Watu wenye silaha wamewateka zaidi ya wanafunzi zaidi ya 200 kaskazini mwa…
Idadi ya waathirika wa vitendo vya ukeketaji duniani imefikia watu milioni 230
Kulingana na ripoti mpya ya shirika linalohudumia watoto, UNICEF, inaonesha kuwa idadi…
Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake kaulimbiu “Wekeza kwa wanawake: Ongeza kasi ya maendeleo .”
Wanawake duniani kote wanaungana leo Ijumaa Machi 8 kusherehekea siku ya kimataifa…
8 wafariki kwa madai ya kula kasa ,kisiwa Panza Pemba
Watu 8 wamefariki dunia kutoka kwenye familia 6 Mkoa wa kusini Pemba…
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imeteketeza zaidi ya ekari 50 za bangi kisimiri wilayani Arumeru
Katika operesheni ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya…
Siku ya kimataifa ya Wanawake kufanyika Machi 8
Siku ya Kimataifa ya Wanawake, kampeni ya kila mwaka ya Umoja wa…
Uchaguzi wa Urusi 2024,Putin akiwa na uhakika wa kushinda uchaguzi wake wa tano
Uchaguzi wa urais nchini Urusi utafanyika tarehe 15–17 Machi 2024 na utakuwa…