Msanii wa Ufilipino akamatwa kwa ‘kuikashifu Dini ya Kikristo’
Amadeus Fernando Pagente alikamatwa mwishoni mwa Alhamisi na kushtakiwa kwa makosa matatu…
Waziri mkuu wa zamani wa Canada Brian Mulroney afariki akiwa na umri wa miaka 84
Waziri mkuu wa zamani wa Kanada Brian Mulroney, ambaye aliweka alama yake…
Dier yuko mbioni kuhamia Bayern uhanisho wa kudumu
Eric Dier ametimiza masharti ya kimkataba yanayohitajika kubadilisha mkopo wake kutoka Tottenham…
New Maendeleo Group wajenga kituo cha polisi Mbokumu chenye thamani ya milioni 35
Wadau wa Maendeleo na maswala ya ulinzi (New Maendeleo group) wamefanikisha ujenzi…
Liverpool kumpanga Mbeumo iwapo Salah ataondoka
Liverpool wanatafuta kumsajili winga wa Brentford Bryan Mbeumo iwapo Mohamed Salah ataondoka…
Saudi Pro League yaonyesha malengo yao ya uhamisho
Timu za Saudi Pro League (SPL) zinalenga nyota kadhaa wa Ligi Kuu…
Arsenal watatafuta kusajili mshambuliaji msimu wa joto
Arsenal itatafuta kusajili mshambuliaji msimu wa joto, huku Benjamin Sesko wa RB…
Msafara kuelekea msikiti mkuu wa BAKWATA (mfalme Mohamed IV)Kinondoni
Safari hii ni kuelekea msikiti wa Kinondoni na baada ya hapo ni…
Ukraine inadai kuwa iliwatambua washukiwa 511 wa uhalifu wa kivita wa Urusi
Ukraine imewatambua watu 511 wanaoshukiwa kufanya uhalifu wa kivita tangu uvamizi wa…