Rais wa Senegal anasema atajiuzulu Aprili 2,2024
Rais wa Senegal alitangaza Alhamisi kwamba mamlaka yake kama rais yatakamilika Aprili…
Silaa amemkabidhi Diamond Platnum hati za viwanja vitatu anavyovimiliki Dar es salaam
Silaa amemkabidhi Msanii wa kizazi kipya Nasibu Abdul (Diamond Platnum) hati za…
Serikali kuagiza zaidi ya tani 300,000 za sukari
Serikali inakusudia kuagiza zaidi ya tani 300,000 za sukari mwaka huu ili…
kila mfanyabiashara anayepewa sukari inayoagizwa kutoka nje majina yapelekwe kwa wakuu wa mikoa-Bashe
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wameamua kwamba kila Mfanyabiashara anayepewa sukari…
Rwanda yakanusha madai ya Ufaransa ya kuwaunga mkono waasi wa M23 DR Congo
Rwanda imetupilia mbali tuhuma za Ufaransa kwamba inawaunga mkono waasi wa M23…
Kenya: Ibaada ya mazishi ya mwanariadha Kelvin Kiptum
Mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za masafa marefu upande wa…
Serikali yakabidhi pikipiki kwa watumiaji ngazi ya jamii
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Ndugu Kheri James mapema leo amekabidhi pikipiki…
Ifahamu sherehe ambayo wanaume kupigana kwa fimbo ili mshindi apate mke Ethiopia
Zipo mila nyingi duniani lakini moja sapo ya kabila hili nchini ethiopia…
Usambazaji umeme vijijini mkoani Iringa wafanyika kwa asilimia 100
Usambazaji umeme vijijini mkoani Iringa umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote…
JKCI yaweka kambi maalumu ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo mkoani dar es salaam
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2024 wataalamu wa…