Mjane wa kiongozi wa upinzani Alexey Navalny amshutumu Putin kwa kuhusika na kifo chake
Mjane wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexey Navalny siku ya Jumatatu…
Mchungaji mmoja wa Korea Kusini ahukumiwa kifungo jela kwa kuwadhulumu watoto kingono
Mchungaji mmoja wa Korea Kusini ambaye aliwahi kusifiwa kuwa shujaa kwa kuwasaidia…
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linapiga kura juu ya usitishaji vita kwa sababu za kibinadamu
Mataifa ya Kiarabu yanapiga kura azimio la Umoja wa Mataifa la kutaka…
Israel inasema imewauwa zaidi ya wanamgambo 10,000 wa Kipalestina
Israel inasema imewauwa zaidi ya wanamgambo 10,000 wa Kipalestina lakini haijatoa ushahidi…
Mashambulizi ya Israel huko Gaza yasababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 29,000 tangu Oktoba 7
Mashambulizi ya Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 29,000…
Tanzania na Misri zaimarisha uhusiano wa kibiashara
Katika tukio la kipekee linaloangazia ushirikiano wa biashara kati ya Tanzania na…
Kim Jong Un apewa zawadi ya gari na Rais wa Urusi Vladimir Putin
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amepewa zawadi ya gari na…
Viongozi wa kijeshi wavunja serikali nchini Guinea
Utawala wa kijeshi nchini Guinea, hapo jana umetangaza kuivunja Serikali iliyokuwepo tangu…
Putin: Russia iko tayari kuumaliza mzozo wake na Ukraine
Rais wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kumaliza vita na Kiev…
Senegal :Wagombea 15 wa urais wataka uchaguzi ufanyike kabla ya muhula wa Rais Sall kumalizika
Wagombea 15 kati ya 20 walioidhinishwa kugombea katika uchaguzi wa urais wa…