Brazil yatangaza hali ya dharura kutokana na mlipuko wa homa ya dengue
Rio de Janeiro imetangaza hali ya dharura ya afya ya umma kutokana…
Mradi wa HEET kuleta mabadiliko makubwa UDSM
Mradi wa HEET unakwenda kuboresha miundombinu ya majengo na vifaa vya kujifunzia…
Serikali yaruhusu wafanyabiashara wa sukari na wenye viwanda kuingiza sukari kutoka nje ya nchi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim Majaliwa…
Netanyahu aita pendekezo la Hamas la kusitisha mapigano kuwa ‘udanganyifu’
Duru mpya ya mazungumzo yenye lengo la kupata "utulivu" huko Gaza na…
Pakistan yazima huduma ya mtandao wakati wa uchaguzi wenye mvutano
Pakistan ilisitisha huduma ya mtandao wa simu za mkononi kote nchini siku…
Nyota wa soka wa Brazil, Dani Alves akanusha madai yake ya unyanyasaji kingono yanayomkabili
Nyota wa soka wa Brazil, Dani Alves alikanusha madai kwamba alimnyanyasa kingono…
Nigeria yaishinda Afrika Kusini kwa mikwaju ya penalti na kutinga fainali ya AFCON
Sébastien Haller aliwatimua wenyeji Ivory Coast katika fainali ya Kombe la Mataifa…
Kampuni ya Apple imezindua kifaa kipya cha kuvaa machoni kilichopewa jina la Apple Vision Pro
Huwenda hii ikawa ni Good news kwa wapenzi na watumiaji wa vifaa…
Serikali na mpango wa kuweka kumbukumbu ya picha Rais Dkt. Samia kwenye fedha ya Tanzania
Serikali iko mbioni kuanza kujadili kuweka kumbukumbu ya picha Rais Dkt. Samia…
Misri kuandaa duru mpya ya mazungumzo kuhusu kusitisha mapigano Gaza ,Netanyahu agoma
Kwa mujibu wa televisheni ya al-Qahera ya Misri, duru mpya ya mazungumzo…