Maandamano yaliyopangwa kufanyika January 24 ni ya amani-Kigaila
Naibu Katibu Mkuu Bara CHADEMA, Benson Kigaila amesema maandamano waliyopanga kufanyika January…
Mwanamke wa miaka 53 atolewa ganda la pipi kwenye pafu lake Muhimbili
Watalaam wa Magonjwa ya Mfumo wa Mapafu na Upumuaji wa Hospitali ya…
Dkt. Tulia aendelea kusambaza neema Mbeya, awatolea uvivu wanaomsema mitandaoni
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa…
Nigeria yashinda Guinea-Bissau na kufuzu hatua ya 16 bora ya Afcon
Timu ya Taifa ya Nigeria imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya…
Lori 12,000 za misaada ya matibabu zimeingia Gaza tangu kuanza kwa vita-IDF
IDF inasema tangu kuanza kwa vita dhidi ya Hamas, malori 12,000 yenye…
Misri imeipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere
Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim…
Mkurugenzi wa Barcelona athibitisha msimamo wa kutouzwa kwa Ronald Araujo
Mkurugenzi wa michezo wa Barcelona Deco amethibitisha kuwa klabu hiyo haina mpango…
Rais mpya wa Liberia aapishwa kwa muula wa miaka 6
Joseph Boakai ameapishwa kuwa rais wa Liberia siku ya Jumatatu kufuatia ushindi…
Watu 18 wamefariki baada ya lori kukosea njia Kusini Magharibi mwa Congo
Lori lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi lilishindwa kudhibitiwa na kutumbukia kwenye…
Wanawake ambao hawawezi kuzaa angalau watoto 12 hawafai kuolewa-John Paul
Mwanaume wa Nigeria John-Paul Ugwu amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii na kueleza…