Chad:Upinzani wamtaka rais aliyechukua mamlaka kujiuzulu na kutogembea tena nafasi hiyo
Upinzani usio na silaha nchini Chad siku ya Jumatano umemtaka rais wa…
Qatar yatangaza kuwasilisha dawa na msaada kwa Gaza chini ya makubaliano ya Israel-Hamas
Qatar siku ya Jumatano ilitangaza kuanza kwa usafirishaji wa dawa na misaada…
Netanyahu akataa mpango wa kuachiliwa kwa mateka huko Gaza: Vyombo vya habari vya Israeli
Serikali ya Israel ilitayarisha pendekezo la kuanzisha mazungumzo mapya na kundi la…
Msimu wa baridi kali waua takriban watu 33 Marekani
Takriban watu 33 wamekufa kufikia Jumatano jioni kutokana na dhoruba kali za…
Idadi ya barua za vitisho kwenye misikiti nchini Ujerumani zimeongezeka tangu Oktoba 7
Idadi ya barua za vitisho zilizotumwa kwa misikiti nchini Ujerumani imeongezeka sana…
Ukraine: Yeyote anayedhibiti anga ataamua”lini na jinsi gani vita vitaisha”-Dmytro Kuleba
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kuleba amesema kipaumbele cha…
Zambia :Tanzania imetuma madaktari bingwa 12 nchini kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo
Serikali ya Tanzania imetuma madaktari bingwa 12 kwenda nchini Zambia kutoa huduma…
India:Mwanamume mmoja akamatwa akijaribu kufanya mtihani kwa niaba ya mpenzi wake chuoni
Mwanamume mmoja wa India amenaswa akijaribu kufanya mtihani katika chuo kikuu cha…
“Furaha ya ngono ni zawadi kutoka kwa Mungu”-Papa
Papa aliyasema hayo wakati wa katekesi iliyohusu “maovu ya tamaa” katika hadhira…
Idadi ya vifo huko Gaza imeongezeka hadi 24,448, -wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas
Vita kati ya Israel na Hamas vimevuka alama ya siku 100 huku…