Watuhumiwa wa uhalifu 533 wahukumiwa jela, matukio ya uhalifu yatajwa kupungua.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya…
Uturuki imemwachilia huru mchezaji wa Israel alieshutumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya Gaza
Mahakama ya Uturuki siku ya Jumatatu ilimwachilia huru akisubiri kusikilizwa kwa kesi…
Makumi ya watu waliuawa katika mashambulizi ‘makali’ ya Israel-Maafisa wa Gaza
Maafisa katika eneo la Gaza inayoendeshwa na Hamas walisema siku ya Jumatatu…
Vilabu viwili vya EPL vinakabiliwa na kukatwa kwa pointi leo
Ligi ya Premia itafahamisha Everton na Nottingham Forest kwamba wanadaiwa kukiuka kanuni…
Uchaguzi wa urais Marekani: Trump anasema ana uhakika wa kushinda,awaomba wafuasi wamchague
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumatatu usiku huko Iowa huku Rais wa zamani…
Baraza la mawaziri la Israel lapanga kupiga kura kuhusu bajeti ya wakati wa vita ya 2024
Baraza la mawaziri la Israel siku ya Jumapili walianza kile kinachotarajiwa kuwa…
‘Ningekaa miaka 10 na kikosi cha Italia’-Mancini
Roberto Mancini anasisitiza kwamba ‘angebaki kwa furaha miaka 10’ kama kocha wa…
Zaidi ya watu milioni 7.4 wakimbia vita nchini Sudan
Ofisi ya Umoja wa Mataifa Inayoratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema, idadi…
Zaidi ya 24,000 wameuawa huko Gaza tangu Oktoba 7
Mashambulizi ya hivi punde zaidi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamefikisha…
Comoro :Wagombea wa upinzani wasema chama tawala kimependelewa katika uchaguzi
Wagombea watano wa upinzani katika uchaguzi wa rais wa Jumapili wa Comoro…