China yayawekea vikwazo makampuni 5 ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza vikwazo dhidi ya makampuni…
Zelenskyy ameelezea imani yake kwamba Russia inaweza kushindwa vita dhidi ya nchi yake
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameelezea imani yake kwamba Russia inaweza kushindwa…
Kylian Mbappe, Adrien Rabiot, Toni Kroos ni miongoni mwa wachezaji huru 2024
Dirisha la usajili la Januari lilifunguliwa na kuwasili kwa mwaka mpya, kumaanisha…
Rabiot wa Juventus anaweza kuondoka klabuni hapo
Kiungo Rabiot anaweza kuwa mmoja wapo wa matarajio bora ya msimu wa…
UNRWA inasema makao yake hayawezi kuchukua watu zaidi huko Gaza
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina lilisema Jumapili…
Hospitali 30 katika Ukanda wa Gaza hazitumiki, zaidi ya watu 58,000 wajeruhiwa toka kuanza kwa vita
Serikali ya Gaza ilitangaza Jumapili kwamba watu 6,000 waliojeruhiwa vibaya wanahitaji kusafirishwa…
Miss Namibia 2022 Cassia Sharpley autaka urais wa nchi yake
Miss Namibia 2022 Cassia Sharpley (23) anasema ameanza kampeni zake za urais…
Tunisia yavunja mtandao wa kusafirisha binadamu
Kikosi cha polisi cha taifa cha Tunisia kimesema, nchi hiyo imevunja mtandao…
Wanajeshi wawaua wanamgambo 76 wa al-Shabaab katikati mwa Somalia
Maofisa wa Somalia wamesema jeshi la taifa la Somalia (SNA) likiungwa mkono…
Rais wa Ufaransa kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri
Rais wa Ufaransa, anatarajiwa kufanyia bazara lake la mawaziri mabadiliko, kwa kumteua…