Antonio Guterres:2023 mwaka wa ‘mateso makubwa, vurugu, na machafuko ya hali ya hewa’
Mkuu wa Umoja wa Mataifa alionyesha matumaini ya 2024 siku ya Alhamisi…
Mtunzi wa mashairi raia wa Russia ahukumiwa kifungo cha miaka 7 jela
Artyom Kamardin alikutwa na mashtaka ya kusoma mashairi yanayopinga vita wakati wa…
Mahakama ya juu ya Chad yapasisha rasmi katiba mpya
Mahakama ya Juu ya Chad jana Alkhamisi ilitangaza kuwa katiba mpya iliyopitishwa…
UNICEF yasema idadi ya watoto waliouawa katika Ukingo wa Magharibi imefikia viwango ambavyo havijawahi kushuhudiwa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) lilisema Alhamisi kwamba…
Idadi ya waliofariki kwa mlipuko wa lori nchini Liberia yaongezeka na kufikia 40
Idadi ya watu waliofariki katika mlipuko wa lori la mafuta uliotokea katikati…
Somalia: Rais aapa kuongeza mapambano dhidi ya ugaidi mwaka 2024
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema serikali yake itaimarisha mapambano dhidi…
Trump awekewa pingamizi kuwania urais katika mojawapo ya jimbo mwaka 2024
Afisa mkuu wa uchaguzi wa Maine ametoa uamuzi kwamba Donald Trump hawezi…
Zambia: Serikali yaongeza kampeni ya kupambana na kipindupindu huku vifo vikikaribia 100
Mamlaka ya Zambia ilitangaza siku ya Alhamisi kuwa wanaongeza kampeni yao ya…
Kesi za kipindupindu nchini Zambia zazidi 3,000
Idadi ya kesi za kipindupindu nchini Zambia imeongezeka na kufikia 3,189 tangu…
WFP yahitaji dola milioni 364 ndani ya miezi 6 ili kuongeza shughuli nchini Somalia
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema linahitaji jumla ya dola…