Burna Boy ameeleza kwa nini “anachukiwa” katika tasnia ya muziki Nigeria.
Damini Ogulu, anayejulikana kama Burna Boy, msanii wa Nigeria aliyeshinda Grammy, ameeleza…
Vikosi vya Al-Qassam mewaua wanajeshi 40 wa Israel katika muda wa saa 48 zilizopita
Kikosi cha Al-Qassam Brigedi, tawi la wapalestina la Hamas, lilitangaza Jumapili kwamba…
Hamas inaonya mateka kuangamizwa isipokuwa pale makubaliano yatatekelezwa
Hamas ilionya Jumapili kwamba hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai Gaza isipokuwa matakwa…
Mkataba wa hali bora TUGHE wawagusa wanawake wanaojifungua watoto njiti
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) leo, Jumamosi tarehe…
Mlinda mlango wa Tottenham Hotspur Guglielmo Vicario hana heshima-Callum
Callum Wilson amemshutumu mlinda mlango wa Tottenham Hotspur Guglielmo Vicario kwa "kutokuwa…
Girona warejea kileleni mwa LaLiga baada ya kuwachapa Barcelona bao 4-2
Girona iliyopanda daraja ilirejea kileleni mwa LaLiga baada ya kuwalaza mabingwa Barcelona…
Israel yashambulia kwa mabomu kusini mwa Gaza baada ya vitisho vya mateka wa Hamas
Israel ilishambulia kwa bomu mji mkuu wa kusini mwa Gaza siku ya…
Ziara ya Zelensky kukutana na Rais wa Marekani Joe Biden
Rais wa Marekani Joe Biden amemwalika mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa…
Zaidi ya wanajeshi 100 wa Israel wameuawa tangu kuanza kwa operesheni ya Gaza
Zaidi ya wanajeshi 100 wa Israel wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya…
Sitaacha kusisitiza ulazima wa kusitishwa vita huko Gaza-Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema hataacha kusisitiza usitishwaji wa mapigano…