Angel Di Maria atastaafu kucheza soka la kimataifa
Mshambulizi wa Argentina Angel Di Maria atastaafu kucheza soka la kimataifa Copa…
Kiongozi wa mapinduzi ya Niger atembelea Mali na Burkina Faso katika safari ya kwanza ya kigeni
Mtawala wa kijeshi wa Niger Jenerali Abdourahamane Tiani siku ya Alhamisi alikutana…
Zaidi ya wananchi elfu 16 wa wilaya ya Hanang kunufaika na mradi mkubwa wa maji Mogitu-Gehandu
Zaidi ya wananchi elfu 16 wa kata ya Gehandu Wilaya ya Hanang…
Mwili wa Mtanzania Clemence Mtenga, aliyefariki nchini Israel, unatarajiwa kuwasili Tanzania kesho
Mwili wa marehemu Clemence Mtenga, Mtanzania aliyekuwa akiishi nchini Israel, unatarajiwa kuwasili…
Jamie Foxx ashtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono miaka 4 iliyopita
Muigizaji wa Marekani Jamie Foxx ameshtakiwa na mwanamke anayedai kuwa alimnyanyasa kingono…
Mgombea binafsi wa urais US anoa dafu umaarufu waongezeka kulinganisha wa Biden na Trump
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa Robert F.…
Watuhumiwa waliojifanya maafisa TRA watiwa mbaroni na jeshi la polisi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma…
Celtic yapigwa faini baada ya mashabiki wake kupeperusha bendera za Palestina wakati wa mechi
Klabu ya soka ya Celtic ya Scotland imepigwa faini ya dola 19,000…
Taarifa kwa vyombo vya habari: Novemba 2023 maandalizi ya kongamano la kitaifa
Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) ipo kwenye maandalizi ya Kongamano la 32…
Mwizi wa Kichina asinzia katikati ya tukio la wizi
Katika hali ya kuchekesha, mwizi mmoja nchini China alijikuta akishikwa pabaya alipoamua…