Mkuu wa ujasusi ateuliwa naibu waziri mkuu Ethiopia
Bunge la Ethiopia Alhamisi liliidhinisha uteuzi wa mkuu wa idara ya ujasusi…
Mwandishi mwingine wa habari auawa katika shambulizi la Israel huko Gaza, idadi yafikia 124
Mwandishi mwingine wa habari wa Palestina aliuawa katika shambulizi la anga la…
Jeshi la Israel limewaachilia wafungwa 71 wa Kipalestina kutoka Ukanda wa Gaza
Mamlaka ya Israel iliwaachilia wafungwa 71 kutoka Ukanda wa Gaza, wakiwemo wafungwa…
Wakuu wa magereza wa Israel washutumiwa kuwatesa maelfu ya wafungwa-Wanaharakati
Watetezi wa haki za binadamu wameshutumu wakuu wa magereza wa Israel kwa…
Zaidi ya watu milioni 8 hufa kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku- WHO
Ingawa idadi ya watu wanaotumia bidhaa za tumbaku inapungua, matumizi ya sigara…
Matumizi ya tumbaku yanapungua zaidi duniani kote: WHO
Idadi ya watu wanaotumia bidhaa za tumbaku, ambayo ndiyo chanzo kikuu cha…
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wanaoishi katika maeneo hatarishi…
Al-Nassr imetangaza ADIDAS kama mdhamini wao wa jezi
Klabu ya Cristiano Ronaldo ya Al-Nassr imetangaza ADIDAS kama mdhamini wao wa…
Wakala wa kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez akanusha taarifa za mchezaji huyo kujuta kusaini chelsea
Wakala wa kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez amekanusha ripoti kwamba mchezaji huyo…
Pierre-Emerick Aubameyang alitaka kurudi Camp Nou
Pierre-Emerick Aubameyang amekiri kwamba alikuwa tayari kurejea Camp Nou msimu uliopita wa…