MSD yaanza usambazaji wa vifaa tiba majimboni
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza usambazaji wa vifaa tiba majimboni,vifaa hivyo vilivyonunuliwa…
Waziri mkuu wa zamani wa Israel atoa wito wa kufanyika kwa uchaguzi wa mapema
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak ametoa wito wa kufanyika…
IDF yamuua mkuu wa propaganda wa Palestina Islamic Jihad
Jeshi la Israel (IDF) limesema limemuua naibu mkuu wa propaganda wa Palestina…
Jeshi la Israel lakiri kufukua makaburi ya Gaza
Jeshi la Israel limekiri kuwa wanajeshi wake walichimba makaburi huko Gaza lakini…
Homa ya manjano yagunduliwa Gaza, mkuu wa WHO aonya
Vifaa vya kupima vimegundua visa 24 vya Hepatitis A miongoni mwa wakazi…
Wizara ya mambo ya nje ya Palestina yakubali wito wa uchunguzi wa ICC
Katika taarifa yake kuhusu X, wizara ya mambo ya nje ya Palestina…
Waliofanya mauaji ya mwendesha mashtaka Ecuador wakamatwa
Mamlaka Ecuador imesema watu 2 wamekamatwa kuhusiana na mauaji ya mwendesha mashtaka…
Mexico, Chile zaomba mahakama ya Umoja wa Mataifa kuchunguza uhalifu dhidi ya Palestina
Mexico na Chile ziliwasilisha kesi Alhamisi kuhusu Israel na Palestina kwenye Mahakama…
Urusi yafanya mazungumzo ya kuanzisha kituo cha kijeshi na Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mjumbe wa Urusi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) alisema Alhamisi…
Jeshi la Nigeria lakomboa mateka 9 kutoka mikononi mwa watu wenye silaha
Katika operesheni ya kupambana na ugaidi katika jimbo la Benue la katikati…