Mchakato wa kura ya kutokuwa na imani na Netanyahu wazinduliwa rasmi
Chama cha Labour cha Israel kilitangaza Jumatano kwamba kitawasilisha pendekezo kwa seneti…
Watekaji 3 wa watoto Geita wadai Milioni 4 kuachia mtoto .
Watu watatu wanashikiriwa na Jeshi la Polisi Mkoani Geita kwa tuhuma za…
Burkina Faso:Serikali inasema imezuia jaribio la mapinduzi
Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso, imesema imezuia jaribio la kuhatarisha usalama…
Ukiumia kazini, ukiugua au kufariki kuna pesa zako za Mafao, Zanzibar kupata Uzoefu Bara
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umedhamiria kutumia uzoefu wa Mfuko…
Saa ya kifahari yamponza Arnold Schwarzenegger yamfanya kuzuiliwa uwanja wa ndege
Arnold Schwarzenegger alizuiliwa kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Munich kwa…
Mfanyabiashara wa madini atapeliwa milioni 115 Geita
Mfanyabiashara wa Madini katika Soko la Dhahabu Mkoani Geita Fahad Mohamed anayemiriki…
Mfalme Charles wa Uingereza kupatiwa matibabu ya kibofu wiki ijayo
Mfalme wa Uingereza Charles atahudhuria hospitali wiki ijayo kwa matibabu ya kibofu…
Al-Ettifaq wamtolea macho Firmino
Inasemekana kuwa Al-Ettifaq wanaweza kutumia pesa wanazohifadhi kutokana na kuondoka kwa Jordan…
Fati anaongeza list ya majeraha ya Brighton wanaorejea tena kikosini
Ansu Fati anatarajiwa kurejea Brighton wiki hii huku akiongeza ahueni yake kutokana…
Mbappe atoa mwanga juu ya uhamisho wake
Mlengwa wa Liverpool Kylian Mbappe amekiri kwamba anaweza kuondoka PSG siku za…