Zaidi ya watu 300 wamekamatwa nchini Uturuki kwa madai ya kuwa na uhusiano na ISIS
Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo alitangaza kuwa watu 304 walikamatwa wakati…
Malawi yapiga marufuku uagizaji wa mahindi kutoka Kenya, Tanzania
Malawi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kutokana na…
Makao makuu ya polisi yatoa tahadhari kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka
Jeshi la Polisi nchini liseme kuwa hali ya usalama wa nchi ni…
STPU, bodi ya nyama kanda ya Kaskazini kuendelea kulinda afya za walaji wa nyama
Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kikosi cha kupambana na wizi wa…
Hamas yafutilia mbali mchakato wa kuachiliwa tena kwa mateka hadi Israel ikomeshe uchokozi
Hamas, kundi linalodhibiti Ukanda wa Gaza, limefutilia mbali mchakato wa kuachiliwa tena…
Kongo sasa inasubiri matokeo ya kwanza ya uchaguzi kwa hamu kubwa
Wapiga kura wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walikuwa wakisubiri siku ya…
Rais wa FIFA Infantino: ‘Bila waamuzi, hakuna mpira wa miguu’
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, alizungumza kuhusu…
Takriban waandishi wa habari 100 waliuawa katika mashambulizi kwenye vita vya Israel tangu Oktoba 7
Idadi ya waandishi wa habari waliouawa katika mashambulizi ya jeshi la Israel…
Idadi ya watu waliouawa katika mashambulizi ya Israel Gaza imefikia 20,057
Idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda…
Takriban watu bilioni 4 wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya dengue-WHO
Takriban watu bilioni 4 wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya dengue,…