UAE yaonya dhidi ya hatari ya kuenea kwa vita vya Gaza
Umoja wa Falme za Kiarabu ulionya Ijumaa kwamba kuna hatari ya kweli…
UEFA wameungana na France Football kuandaa tuzo ya Ballon d’Or kuanzia mwaka ujao
Baraza kuu la Uropa litachukua jukumu la kuandaa hafla hiyo iliyojaa watu…
Beki wa Bayern Munich, De Ligt,kukosekana tena kutokana na jeraha la goti
Safu ya ulinzi ya Bayern Munich imekabiliwa na tatizo lingine, huku klabu…
Kenya : Mfalme wa Uingereza kutamatisha ziara yake ya siku 4
Mfalme wa Uingereza, Charles wa tatu anatarajiwa kutamatisha ziara yake nchini Kenya…
Real Madrid waongeza mkataba wa Rodrygo hadi 2028
Mshambulizi wa Real Madrid wa Brazil Rodrygo ameongeza mkataba wa nyongeza hadi…
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu aachana na kustaafu na kujiunga tena na siasa .
Lungu amezindua azma ya kukiongoza chama cha Patriotic Front, chama kilichoshika madaraka…
Maeneo mengi ya Burkina Faso yamezingirwa na vikundi vya wanajihadi wenye silaha: Amnesty
Makundi ya wanajihadi wenye silaha wanashikilia takriban maeneo 46 kote Burkina Faso…
Watu 40 wauawa katika mshambulizi ya Boko Haram nchini Nigeria
Katika kipindi cha siku za hivi karibuni kundi la kigaidi la Boko…
Watu 12 wamefariki dunia baada ya basi kugongana na lori kaskazini mwa Nigeria
Takriban watu 12 wamepoteza maisha baada ya basi na lori kugongana uso…
Jeshi la Somalia lateka ngome za al Shabab katika eneo la kusini magharibi mwa nchi
Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limekomboa vijiji vinne, ambavyo vilikuwa ngome…