Real Madrid yampeleleza mlinzi wa Lille Leny Yoro :Fabrizio
Real Madrid "wanatuma maskauti wao mara kwa mara" kumfuatilia mlinzi wa Lille…
Rais wa Nigeria Bola Tinubu apiga stop safari zote za viongozi nje ya nchi hiyo
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kuanzia tarehe 1 Aprili atapiga marufuku ya…
Victor Lindelof amesema hana nia ya kuhamia Saudi Pro League
Beki wa kati Victor Lindelof ameviambia vyombo vya habari vya Uswidi kuwa…
Vilabu vikubwa zaidi vya Premier League vinamtaka winga wa Real Madrid Rodrygo
Arsenal, Liverpool, Manchester City na Manchester United zote zinaripotiwa kumtaka mchezaji huyo…
Rubiales anatarajiwa kurejea kutoka Caribbean kufanyiwa uchunguzi wa madai ya rushwa
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF) Luis Rubiales…
Urusi yawakamata 4 kwa kupanga njama tofauti za mashambulizi ya kigaidi
Idara ya usalama ya Urusi FSB ilisema Alhamisi kwamba imewakamata watu wanne…
Rais Ramaphosa athibitisha uhusiano na Urusi
Rais Cyril Ramaphosa amethibitisha kujitolea kwa Afrika Kusini kuendelea na uhusiano na…
Mapigano kati ya jamii mbili mashariki mwa Chad yasababisha vifo vya watu 42
Mapigano kati ya jamii mbili mashariki mwa Chad yamesababisha vifo vya takriban…
Mechi ya Yanga dhidi ya Mamelod Sundowns Machi 30 mzunguko bure
Rais wa Yanga SC Hersi Said pamoja na Kamati yake ya Utendaji…
WIMA, GGML washauri wazazi kuwapa elimu watoto wao wa kike
Kwaajili ya maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla, wazazi na walezi…