Mwanariadha aliyepigwa marufuku wa olimpiki ya New Zealand akamatwa nchini Kenya kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono
Mwanariadha aliyepigwa marufuku wa Olimpiki wa New Zealand Zane Robertson amekamatwa nchini…
Raia wa Nigeria waendelea kukusanyika Lagos baada ya kifo cha nyota wa Afrobeats
Mamia ya Wanigeria waliandamana mjini Lagos Alhamisi kudai uchunguzi wa kifo cha…
Utawala wa jeshi wa Mali wasitisha sherehe zilizopangwa za siku ya uhuru
Kikosi tawala cha Mali kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru…
Mwanamitindo Naomi Campbell aifichua siri yake ya matumizi ya madawa ya kulevya na uraibu
Naomi Campbell amekiri kwamba alikuwa "akijaribukujiua" kwa kutumia dawa za kulevya katika…
Ongezeko la wahamiaji latia wasiwasi Marekani lavunja rekodi
Idara ya uhamiaji ya Marekani Alhamisi iliripoti ongezeko kubwa la watu wanaovuka…
Dawa za kulevya zapatikana chini ya mlango wa shule wa chekechea ya New York
Polisi wamepata kiasi kikubwa cha fentanyl, madawa ya kulevya na vifaa vingine…
Mnyarwanda akiri kuua watu 14 baada ya maiti 12 kukutwa zimezikwa jikoni
Raia wa Rwanda Denis Kazungu amekiri kosa la kuua watu 14 wengi…
Urusi imepiga marufuku kwa muda uuzaji wa mafuta ili kukabiliana na uhaba
Serikali ya Russia imetangaza katika taarifa kwamba ili kuleta uthabiti katika soko…
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
Kiongozi mkuu wa Sudan ameonya Umoja wa Mataifa kwamba vita vya nchi…
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
Mwendesha mashtaka wa umma wa Tunisia jana alimshikilia mchora katuni Tawfiq Omrane…