Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko
Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha…
Taiwan yanasa ndege 103 za kivita za China kwenye anga yake
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema leo Jumatatu kuwa imenasa ndege 103…
Urusi yazuia mashambulizi mapya ya ndege zisizo na rubani za Ukraine
Urusi imedai kuangusha ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine katika eneo…
Askari wa kike Tanzania washiriki mkutano wa mwaka 2023 New Zealand
Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wameshiriki mkutano wa mwaka 2023 wa…
Jeshi la Polisi nchini latoa onyo kwa wanaojichukulia sheria mkononi
Habari ya Asubuhi na karibu kwenye Matangazo yetu hii leo...... Jeshi…
Jeshi la polisi Uturuki latoa mafunzo kwa jeshi la polisi Tanzania
Jeshi la Polisi Nchini limeipongeza serkali ya Uturuki kwa kutoa mafunzo kwa…
NMB yatoa Bilioni 1 kufadhili wanafunzi 65 wa vyuo vikuu awamu 2
Benki ya NMB imefungua rasmi mwaka wa pili wa ufadhili wa masomo…
Maonesho ya teknolojia ya Madini kufanyika mkoani Geita mgeni rasmi akiwa rais Dr. Samia Suluhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ndiye…
Wabunge wa Urusi wanapendekeza kupiga marufuku mtandao wa WhatsApp
Baadhi ya wanachama wa Jimbo la Duma la Urusi na Baraza la…
Zelenskyy kuzuru Washington na New York hivi karibuni
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anatazamiwa kuzuru Congress na Ikulu ya White…