Maafisa 2 wa kijeshi wakamatwa nchini Kongo kwa kuongoza maandamano yaliyoua watu 43
Maafisa wawili wa ngazi za juu wa kijeshi kaskazini-mashariki mwa Kongo walikamatwa…
Kiongozi wa mapinduzi Gabon ala kiapo cha urais na kuahidi uchaguzi “huru”.
Rais mpya wa mpito wa Gabon, ambaye aliingia madarakani kwa mapinduzi wiki…
Mmiliki wa Nottingham Forest atamba kuwa na kikosi bora katika soka la Uingereza
Mmiliki wa Nottingham Forest Evangelos Marinakis anasema klabu yake iko kwenye njia…
Sijaridhishwa kushinda tuzo ya msanii bora wa kike – Ayra Starr
Mwimbaji mahiri wa Nigeria Sarah Aderibigbe, almaarufu Ayra Starr, ametangaza kwamba hapendi…
Putin analaumu nchi za Magharibi kwa kuporomoka kwa makubaliano ya nafaka
Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan alisema baada ya mazungumzo na Vladimir Putin…
Kremlin yakataa kutoa maoni juu ya mkutano unaowezekana kati ya Putin na Kim Jong Un
Ikulu ya Kremlin imekataa kuzungumzia madai ya serikali ya Marekani kwamba kiongozi…
Gareth Southgate kuondoka ,Guardiola kuchukua nafasi yake kama meneja wa England
Chama cha Soka kinaripotiwa kujiandaa kwa Gareth Southgate kuondoka kama meneja wa…
Jadon Sancho amekose kumlaumu Erik ten Hag…..
Jadon Sancho ameambiwa awajibike kwa kukosa muda wa kucheza Manchester United, na…
Mahakama ya juu ya Hong Kong yahalalisha LGBTQ
Mahakama ya juu ya Hong Kong ilitoa uamuzi Jumanne kwa kuunga mkono…
Antony sasa ameondolewa kwenye kikosi cha Brazil dhidi ya unyanyasaji
Antony sasa ameondolewa kwenye kikosi cha Brazil kwa ajili ya mechi zao…