Cole Palmer kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuhamia Chelsea siku ya leo.
Chelsea na Manchester City wamefikia makubaliano, yanayofahamika kuwa takriban pauni milioni 45,…
Pavard amejiunga na Inter Milan akitokea Bayern Munich
Inter Milan imemsajili beki wa Ufaransa Benjamin Pavard kutoka Bayern Munich, klabu…
Mvua za El Nino huenda zikawaathiri Wasomalia milioni 1.2 mwaka huu-FAO
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema mvua…
Viongozi mbalimbali duniani walaani mapinduzi nchini Gabon
Taasisi, chi mbalimbali na viongozi karibu wote duniani wanalaani mapinduzi ya kijeshi…
Korea Kaskazini yarusha makombora ya balistiki kuelekea baharini baada ya Marekani kuwarushia mabomu wakati wa mazoezi
Korea Kaskazini imerusha makombora mawili ya balistiki na kufanya mashambulio ya nyuklia…
Zaidi ya watu 60 wamefariki katika ajali ya moto katika jengo Johannesburg
Takriban watu 63 wameuawa na zaidi ya 40 wakiachwa na majeraha kufuatia…
Mamia ya wafungwa wa kisiasa wajiunga na mgomo wa kula Bahrain
Baadhi ya akina mama wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wameanza mgomo…
Brice Oligui Nguema anayedaiwa kuwa kiongozi wa mapinduzi nchini Gabon ni nani?
Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani, Brice Clothaire Oligui…
Mapinduzi ya Gabon: Ali Bongo aomba msaada, “sijui kinachoendelea”
Brice Nguema, anayeshukiwa kuwa kiongozi wa mapinduzi ya Jumatano nchini Gabon amesema…
EU yatoa Euro 350,000 katika kukabiliana na ugonjwa monkeypox DRC
Umoja wa Ulaya (EU) ulitangaza Jumanne kwamba umetoa msaada wa euro 350,000…