Mkuu wa diplomasia wa Libya asimamishwa kazi baada ya kukutana na mkuu wa diplomasia wa Israel
Mkuu wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi Najla al-Mangoush na amesimamishwa kazi…
Uchaguzi umefanyika na nimeshinda kwa njia ya haki-Rais wa Zimbabwe
Rais mteule wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametupilia mbali ripoti za baadhi ya…
Sudan: RSF inaunga mkono mpango wa kusitisha vita-Ripoti
Nchini Sudan, Kikosi maalum cha RSF, kimesema kinaunga mkono mpango wa usitishwaji…
Gabon: Hofu ya mgogoro mpya baada ya uchaguzi yatanda
Siku moja baada ya uchaguzi nchini Gabon, ukusanyaji wa matokeo kutoka majimbo…
Emmerson Mnangagwa: ‘The Crocodile’ ashinda duru ya pili kama rais wa Zimbabwe
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amechaguliwa kwa muhula wa pili kwa asilimia…
Prigozhin athibitishwa kupoteza maisha kufuatia ajali ya ndege
Habari ya Asubuhi na karibu kwenye matangazo yetu Mubashara hii leo.... …
Kiungo wa kati wa Chelsea aondoka kwenye kikosi cha Pochettino na kujiunga na Forest.
Kiungo wa kati wa Chelsea, Andrey Santos amekihama kikosi cha Mauricio Pochettino…
Kundi la ‘Blac Lives Matter’laandamana kupinga vurugu za polisi Brazil
Vuguvugu la Weusi la Brazil liliandaa kitendo cha kitaifa siku ya Alhamisi…
Xi wa China aahidi kuunga mkono ushirikiano wa Afrika
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na kiongozi wa China Xi Jingping…
Marekani yawawekea vikwazo watu 6 kutokana na mzozo mashariki mwa DRC
Marekani inawaweka kizuizini watu sita wanaoaminika kusaidia kuchochea mzozo katika eneo la…