12 wameuawa katika mapigano baina ya jamii mbili zinazozozania ardhi DRC
Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano baina ya jamii mbili zinazozozania kipande…
Halle Berry na Olivier Martinez watalakiana baada ya miaka 8 ya ndoa yao
Halle Berry na Olivier Martinez wamekamilisha talaka yao karibu miaka minane baada…
Je! muungano wa BRICS utaweza kuondoa ufalme wa dola ya Marekani, kuleta utulivu duniani?
Muungano wa BRICS wa nchi zinazoongozwa na China na Urusi unataka kuinua…
Rais wa Iran azuru Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS
Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa…
“Tutafanya kazi, hakuna haja ya mkutano mwingine, tuko tayari”-ECOWAS
Wakati diplomasia ikishika kasi na kwamba sauti za kupinga uingiliaji kati wowote…
EU kupeleka misaada ya kibinadamu mashariki mwa DRC
Umoja wa Ulaya EU umetangaza safari ya ndege ya kibinadamu kuelekea mashariki…
Brics yakaribisha nchi sita kujiunga na kupanua hadi nchi 11 kuanzia Januari mwakani
Iran na Saudi Arabia ni miongoni mwa mataifa sita yaliyoalikwa Alhamisi kujiunga…
Uchaguzi wa Zimbabwe unaendelea hadi siku ya pili baada ya kucheleweshwa na wengine kulala kwenye vituo vya kupigia kura
Zimbabwe upigaji kura bado unaendelea nchini Zimbabwe, ambapo ucheleweshaji wa saa moja…
Korea Kaskazini yashindwa kurusha satelaiti ya kijasusi kwa mara ya pili
Korea Kaskazini ilijaribu na kushindwa kwa mara ya pili kurusha satelaiti ya…
Iran yawahukumu wanaume 7 na mwanamke 1 jela kwa kujihusisha na mauaji
Iran imewahukumu watu wanane, akiwemo mwanamke, kifungo cha kati ya miaka mitatu…