Mabosi wa Man United wanatembelea vilabu vikubwa kabla yakujijenga upya
Timu ya Manchester United ya kusajili wachezaji inatembelea vilabu vikubwa zaidi barani…
Kim Jong Un aendesha kifaru kipya na kuamuru wanajeshi kujiandaa kwa vita
Kiongozi Kim Jong Un amejiunga na mafunzo ya wanajeshi wa Korea Kaskazini…
Netanyahu anarefusha vita vya Gaza kusalia madarakani – Maliki
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaongeza muda wa vita huko Gaza…
Hatutalipa fidia kwa waathiriwa wa utekaji nyara – Tinubu
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ameviagiza vikosi vya usalama kutolipa fidia kwa…
PSG wanapanga kumsajili Rashford
Paris Saint-Germain wako tayari kutoa Manchester United pauni milioni 75 kumnunua Marcus…
Marekani inatarajia baraza la mpito la Haiti ‘ndani ya saa 48’
Marekani inatarajia wajumbe wa Baraza la Mpito la Rais wa Haiti kuteuliwa…
Maadhimisho ya siku ya Figo duniani | machi 14 ,2024
Siku ya figo duniani hujirudia kila mwaka huku mamia ya matukio huambata…
Wagonjwa zaidi ya 6000 kutoka nje ya nchi wamepatiwa matibabu Tanzania
Wagonjwa zaidi ya 6000 kutoka nje ya nchi wamepatiwa matibabu katika hospitali…
Hezbollah inaapa kuweka shinikizo kwa Israeli hadi vita vya Gaza vitakapomalizika
Kiongozi wa kundi la Lebanon Hezbollah ameapa kuweka shinikizo kwa wanajeshi wa…
Polisi wa Zimbabwe waokoa watoto 251 kwenye madhabahu yenye utata
Polisi wa Zimbabwe siku ya Jumatano walisema wamemkamata mwanamume anayedai kuwa nabii…