Klabu ya Sheffield United imetangaza kumsajili kiungo wa zamani wa Everton Tom Davies.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alikuwa mchezaji huru baada ya…
Niger: mamia ya wafuasi wa junta wanakusanyika Niamey
Wafuasi wa serikali ya Niger wanatoa wito wa kuhamasishwa kwa raia dhidi…
Taliban yaadhimisha mwaka wa pili wa kurudi madarakani Afghanistan
Kundi la Taliban la Afghanistan limeadhimisha mwaka wa pili wa kurejea madarakani…
Jamhuri ya Cheki yatia saini mkataba wa ulinzi na Marekani
Jamhuri ya Czech imekamilisha uidhinishaji wa mkataba wa ulinzi na Marekani ambao…
Waziri Mkuu aliyeteuliwa na jeshi wa Niger atembelea nchi jirani ya Chad
Waziri mkuu wa kiraia aliyeteuliwa na utawala wakijeshi nchini Niger, Ali Mahaman…
Mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda akamatwa tena
Mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda Fulgence Kayishema, ambaye amekuwa kakizuiliwa…
Wanajeshi 17 wa Niger wameuawa katika shambulio karibu na Burkina Faso
Kwa mujibu wa taarifa hiyo maofisa wengine 20 wa jeshi walijeruhiwa kwenye…
Beki wa PSG na Senegal Abdou Diallo amejiunga na klabu ya Qatar Al-Arabi
Masharti ya mkataba huo hayakuwekwa wazi lakini vyombo vya habari vya Ufaransa…
Afisa wa zamani wa idara ya ujasusi ya FBI akiri mashtaka ya kula njama
Afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa kitengo cha ujasusi cha…
De Bruyne kukosa UEFA Super Cup kutokana na jeraha
Kiungo wa kati wa Manchester City Kevin De Bruyne atakuwa nje ya…