Marufuku ya bidhaa zinazo ashiria masuala ya”LGBTQ Malaysia
Kuvaa saa ya Swatch yenye rangi ya upinde wa mvua nchini Malaysia…
Uhaba wa dawa za matibabu nchini Marekani-Ripoti
Utafiti uliotolewa Alhamisi na taasisi ya American Society of Health-System Pharmacists, ASHP,…
China imesema mfanyakazi wa kampuni ya kijeshi alifichuliwa kama jasusi wa CIA
Shirika la kijasusi la kiraia la China limemfichua raia wa China kwa…
IGAD yatoa wito kwa pande zinazopambana Sudan kusaini makubaliano ya kusitisha vita
Shirika la Maendeleo la Serikali za Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) Jumatatu…
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Zuma aliachiliwa huru saa moja baada ya kurejeshwa gerezani
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma alirejeshwa gerezani siku ya…
EU yataka kuachiwa kwa rais wa Niger
Umoja wa Ulaya umekosoa hali mbaya ya rais aliyezuiliwa wa Niger Mohamed…
Rasmi:Youssef Chermiti amejiunga na Everton kwa mkataba wa kudumu kutoka Sporting
Wiki chache zilizopita tangu jina lake kuhusishwa na Everton inaonekana kudorora lakini…
Yanayojiri juu ya mkataba wa Caicedo hivi sasa :ofa kutoka kwa Chelsea yakataliwa
Brighton hawatakubali ofa kutoka kwa Chelsea kwa chini ya rekodi ya Uingereza…
Jeshi laangiza kufungwa kwa kituo cha redio Burkina Faso
Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso imesitisha shughuli za moja ya redio…
Russia imetungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine
Russia imesema imefanikiwa kutungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine karibu…