Ufaransa yakataa kusitisha mechi kwa wachezaji Waislamu kipindi hiki cha Ramadhan
Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) limekataa kuruhusu mechi za jioni kusitishwa…
Ramadhani kwenye maeneo mbalimbali katikati ya vita ya Israel huko Gaza
Wapalestina huko Gaza wakijaribu kuadhimisha mwezi Mtukufu wa Waislamu wa mfungo, huku…
Viongozi wa Israel wanapaswa kujibu kuhusu watoto wachanga waliouawa huko Gaza
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena amesisitiza wito…
Madaktari wa Kipalestina wafunga ndoa katika Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza
Madaktari wa Kipalestina, Thaer Dababesh, na mchumba wake, Asma Jabr, walifanya sherehe…
NGOs zinapanga kuishtaki Denmark kukomesha uuzaji wa silaha kwa Israel
Kundi la mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yametangaza kuishtaki Denmark katika juhudi…
Japan:Roketi ya Kairos yalipuka baada ya kurushwa angani
Roketi ya anga za mbali iitwayo Kairos ya nchini Japan imelipuka sekunde…
Biden ashinda kura zakutosha kupata uteuzi wa rais wa Kidemokrasia wa 2024 Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye alichukua madaraka akilenga kudhibiti taifa lililoathiriwa…
Malori ya misaada yanaingia Gaza kutoka Israel kwa mara ya kwanza tangu vita kuanza
Malori sita ya misaada yalivuka kutoka Israel moja kwa moja hadi kaskazini…
Kimbunga Filipo chaipiga Msumbiji,maelfu wanahitaji msaada wa haraka
Dhoruba ya kitropiki ya Filipo, iliyoikumba Msumbiji Jumanne jioni, imeacha mamia kwa…
Juventus yafuzu kwenye Kombe la Dunia la klabu 2025
Ikiwa imepigwa marufuku na UEFA kushiriki mashindano ya Uropa msimu huu kwa…