Luis Enrique akaribia kuteuliwa kuinoa PSG
Klabu ya Paris Saint-Germain inaripotiwa kuwa iko mbioni kumteua Luis Enrique kama…
Inter yamuaga Milan Skriniar baada ya misimu sita,anatarajiwa kujiunga na PSG bila malipo
Hapo awali Skriniar alithibitisha kuachana na klabu hiyo baada ya kukataa kusaini…
Christophe Galtier na mwanawe wamezuiliwa kwenye uchunguzi wa tuhuma za ubaguzi wa rangi
Kocha wa Paris Saint-Germain Christophe Galtier na mwanawe wamezuiliwa kama sehemu ya…
Barcelona ilikataa ofa ya Euro 100m kumuuza Frenkie de Jong-Rais wa Barcelona
Rais wa Barcelona Joan Laporta alisema klabu hiyo ya Uhispania ilifanya vyema…
Sergio Ramos na mpango wa kurudi La Liga wagonga mwamba
Beki wa zamani wa Real Madrid na Paris Saint-Germain, Sergio Ramos kwa…
Nicki Minaj na albamu mpya ‘Pink Friday 2’ Kuiachia Novemba
Hapo awali Nicki alitangaza tarehe 20 Oktoba kama siku ya kuachiliwa kwake…
Travis Scott huenda akakabiliana na mashtaka ya jinai juu ya maafa kwenye tamasha lake la Astroworld 2021
Travis Scott anakabiliwa na mashtaka ya jinai kwa kuhusika kwake katika maafa…
Beyoncé na Kelly Rowland wanaripotiwa kuungana kusaidia jamii zisizo na makazi huko Houston
Mnamo Jumanne (Juni 27), maafisa wa Kaunti ya Harris walitangaza kwamba waimbaji…
Hatimaye Lil Uzi Vert ametoa albamu mpya ‘Pink Tape’ Ft. Travis Scott, Nicki Minaj
Lil Uzi Vert alitangaza jina la albamu yao mpya miaka miwili iliyopita,…
Profesa afukuzwa kazi baada yakukosekana kazini kwa miaka 20 kati ya miaka 24 ya ajira yake
Profesa wa Italia ambaye hivi majuzi aligonga vicha vya habari vya mitandao…