Rais Cyril Ramaphosa aongoza ujumbe wa amani nchini Ukraine
Viongozi wa Afrika hivi leo wamewasili nchini Ukraine kabla ya hapo kesho…
Uteuzi wa rais wa Kenya, William Ruto kuongoza ujumbe jumuiya ya IGAD uko pale pale
Licha ya utawala wa Khartoum nchini Sudan, kukataa uteuzi wa rais wa…
“Ulimwengu umepata joto zaidi mapema Juni kwenye rekodi”-EU
Wastani wa viwango vya joto duniani mwanzoni mwa Juni vilikuwa joto zaidi…
Washukiwa 186 watambuliwa nchini Ethiopia kwa kufanya ulaghai na wizi wa misaada
shirika la misaada ya kibinadamu la serikali ya Marekani, na Shirika la…
Siku ya Mtoto wa Afrika “Maendeleo Endelevu 2030: Imarisha Ulinzi na Fursa Sawa kwa Watoto”
Siku ya mtoto wa Afrika ni siku inayosherehekewa kila mwaka tarehe 16 Juni tangu mwaka 1991 ilipoteuliwa…
Walemavu wa viungo 10 wapewa bajaji 10 zenye thamani ya milioni 100 na GGML geita
Baadhi ya watu wenye ulemavu wapatao 10 wanaoishi katika mazingira Magumu wilayani…
Umaskini uliokithiri sasa umepungua kutoka asilimia 9.7 hadi 8.0
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha…
Hii hapa hali ya uchumi wa nchi, mfumuko wa bei, deni la taifa, simba na yanga zatajwa
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha…
Tanzania bado imeendelea kuwa Nchi ya uchumi wa kati -Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha…
Kesi ya manusura 65 wa Shakahola nchini Kenya kusikilizwa leo Mombasa
Watu hao 65 walishtakiwa kwa kosa la kukataa kula na kunywa kwa…