Elon Musk kuteua CEO mpya wa Twitter
Alitangaza habari hizo kwenye mtandao wa kijamii, alioununua mwaka jana kwa $44bn…
Wanafunzi 9 wafariki baada ya boti kupinduka nchini Ghana
Wanafunzi tisa wamethibitishwa kufariki katika eneo la Greater Accra nchini Ghana Jumatano…
Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Russia silaha kwa siri
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini siku ya Alhamisi ameishutumu nchi hiyo…
Dr.Tulia Ackson kugombea kiti cha Urais wa bunge la Dunia IPU.
Imeelezwa kwamba Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dr.Tulia…
Mamlaka yafungua uchunguzi kuhusu shambulio la risasi katika sinagogi
Mamlaka nchini Tunisia ilianzisha uchunguzi Jumatano kuhusu shambulio la risasi katika sinagogi…
Ripoti:Zaidi ya watu milioni 71 walikimbia makazi yao ulimwenguni kote2022
Kuingiliana kwa mizozo nchini Ukraine na nchi za Kiafrika na majanga yanayosababishwa…
UN kufanya kikao cha dharura kuhusu Sudan
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa leo litafanya kikao…
Namibia yapiga marufuku tattoo kwa maafisa wa magereza
Mamlaka ya magereza nchini Namibia imepiga marufuku kuajiri watu wenye tattoo zinazoonekana…
Waumini waliotekwa nyara waachiwa huru Nigeria
Waumini 11 kati ya 25 waliotekwa nyara siku ya Jumapili baada ya…
wafuasi 1,400 wa kundi la wanajihadi la Boko Haram wanaswa
Takriban wafuasi 1,400 wa kundi la wanajihadi la Boko Haram nchini Nigeria…