Zaidi ya miili 100 iliyofukuliwa walifariki kutokana na njaa, uchunguzi wathibitisha.
Uchunguzi wa kwanza wa kitaalamu kwenye maiti zilizogunduliwa katika makaburi yanayohusishwa na…
“Uamuzi ufanywe kwa kuzingatia sheria” Wakili
Mgogoro Tanga Cement: Uamuzi ufanywe kwa kuzingatia sheria, asema mwanasheria Mgogoro wa…
Polisi wa Ufaransa na Italia wapambana na wanaharakati wakati wa sherehe za Mei Mosi.
Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Dei yaliyofanyika jana nchini…
Zaidi ya wakimbizi 20,000 walivuka kutoka Sudan kwenda Chad tangu mapigano yalipozuka.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, takriban wakimbizi 20,000 wamehifadhiwa…
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) waondoa zuio la oparesheni zake Sudan.
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa umeamua kuondoa zuio la oparesheni…
Kenya: Upinzani kuendelea na maandamano licha ya onyo la Polisi.
Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema maandamano yaliyopangwa kufanyika Jumanne…
Russia kuweka kanuni kali za kinidhamu ya vikosi vyake Ukraine.
Hatua hiyo imefanyika ikiwa kumefanyika mashambulizi kote Ukraine na kusababisha vifo vya…
Mbunge Jesca Wanambogwe ‘lindeni Mila na Tamaduni za Kiafrika’
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Jesca Msambatavangu amesema Watanzania wanayo dhamana…
Zoezi la sensa ya watu na makazi nchini Nigeria laahirishwa.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameidhinisha kuahirishwa kwa shughuli hiyo na kusema…
Marbug yaua watu 6 na wengine 3 wamepona hadi sasa.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema tangu Serikali ilipotangaza uwepo wa ugonjwa…