Zanzibar, imepiga marufuku matumizi ya rangi za upinde wa mvua mashuleni.
Waziri wa Elimu Visiwani Zanzibar Bi. Lela Muhamed Mussa, amepiga marufuku matumizi…
Mamia ya raia wajitokeza kwa maandamano nchini Libya.
Mamia ya Raia nchini Libya wamejitokeza barabarani kwenye mandamano dhidi ya Jeshi…
Kampuni kumlipa fundi umeme aliyefukuzwa bila ushahidi wa kunywa pombe akiwa Kazini.
Mahakama ya Uhispania hivi majuzi iliamua kwamba kampuni ya umeme imlipe mfanyakazi…
Mchungaji aliyedai kutibu VVU afikishwa mahakamani.
Mchungaji maarufu nchini Ezekiel Odero amewasilishwa katika mahakama ya Shanzu pwani ya…
Wanajeshi 33 wauwawa na wengine 12 kujeruhiwa nchini Burkina Faso.
Shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu liliua wanajeshi 33 mashariki…
Zambia: Rais aagiza kuuzwa kwa magari yaliyonunuliwa kabla hajaingia madarakani.
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amemuagiza Katibu wa baraza la mawaziri Patrick…
Wakuu wa Wilaya Msitoe vibali vya Kukata miti.
Mkuu wa mkoa wa tanga Waziri Kindamba amewataka wakuu wa wilaya wote…
Bilioni 7.7 kujenga soko la wamachinga Tanga jiji.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashimu Mgandilwa amesema kuwa serikali ya wilaya…
Idadi ya wanyama pori wanaogongwa barabara ya Babati-Arusha yaongezeka.
Idadi ya wanyama pori wanaogongwa katika Barabara ya Babati- Arusha imetajwa kuongezeka…
Mchezaji wa Chelsea, Raheem Sterling kufadhili elimu ya vyuo vikuu kwa vijana 14 weusi.
Mchezaji wa timu ya chelsea Raheem Sterling amethibitisha kuwa atalipa ada ya…