Urusi : Atozwa faini zaidi ya Mil.1 kwa kumwita Rais wa Ukraine ‘mzuri’.
Mwanamke mmoja wa Urusi ametozwa faini ya dola 500 sawa na Tsh…
Polisi wa Morocco yakamata tani 5.4 za bangi zinasafirishwa kwenye lori.
Maafisa wa usalama na forodha walikamata bangi hiyo katika bandari ya kaskazini…
Rais wa Mexico aambukizwa Covid kwa mara ya 3.
Rais wa Mexico Andres Manuel Lopez Obrador Jumapili amesema kwamba ameambukizwa virusi…
Australia kununua makombora zaidi kukabiliana na China.
Australia itaharakisha juhudi za kununua makombora ya masafa marefu ili kukabiliana na…
Miili 47 yapatikana imezikwa kwenye shamba la kanisa Kenya.
Maafisa wa usalama Kenya wamefukua miili 47 hadi kufikia Jumapili kwenye shamba…
Uchafuzi wa hewa husababisha vifo zaidi ya watu 1,200 chini ya miaka 18 .
Uchafuzi wa hewa husababisha vifo vya mapema vya zaidi ya watu 1,200…
Shambulio la kujitoa mhanga laua na kujeruhi zaidi ya watu 70 Mali.
Watu wasiopungua 10 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la…
UNICEF: Mapambano nchini Sudan yawaweka hatarini mamilioni ya watoto
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF)…
Museveni aamuru mswaada wa LGBTQ ufanyiwe marekebisho kabla ya kuutia saini kuwa sheria.
Rais wa Uganda Museveni atafanya mkutano siku ya Jumanne na kamati ya…
Takribani watu 78 wameuawa katika mkanyagano wakipatiwa msaada.
Makumi ya watu waliuawa katika msongamano uliopelekea mkanyagano wa watu katika mji…