Muhimbili wazindua maabara yenye vipimo vya himofilia
Ikiwa leo ni siku ya himofilia duniani Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua…
Mwanaume mmoja Avunja na kuingia kituo cha Polisi Kuoga.
Joseph Moulton, 36, alizunguka kituo cha Polisi cha Naples kwa takriban dakika…
DRC: ‘Hatutafanya mazungumzo na M23’’, Rais Tshisekedi.
Rais Felix Tshisekedi amesistiza kuwa serikali yake haitafanya mazungumzo yoyote ya kisiasa…
Kampuni ya silaha nchini Marekani yazindua mfumo wa bastola kwa alama za vidole.
Bastola janja ya kwanza duniani “smart gun” ambayo inafanya kazi kwa kutumia…
Wanne wafariki wengine (10) hospitali wakiwa kwenye mfungo kukutana na Yesu.
Watu wanne walipatikana Alhamisi wakiwa wamefariki na wengine zaidi ya kumi wamelazwa…
Korea Kusini kuwalipa posho Tsh Mil.1 vijana wapweke kuirudisha furaha yao.
Wizara ya Usawa wa Jinsia na Familia ilitangaza wiki hii kwamba itatoa…
UN yaonya juu ya kuzuka kwa magonjwa ya mlipuko yanayosababishwa na maji Somalia.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulika na Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu…
Viongozi wa dini watakiwa kushikirikiana kukemea vitendo vya uharibifu wa maadili hapa nchini.
Serikali mkoani Tanga imewaomba viongozi wa dini kuendelea kushirikia nao katika kukemea…
Aliyevujisha nyaraka za siri juu ya taarifa za intelijensia za jeshi la Marekani ,FBI yamtia mbaroni
Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imetangaza kuwa, imemtia mbaroni mvujishaji wa…
LIBYA:Mwinjilisti akamatwa kwa madai ya kueneza imani ya kikristo katika taifa la kiislamu.
Vikosi vya usalama vya Libya vilisema Alhamisi kuwa vimemkamata raia wa pili…