Tag: video mpya

VideoMPYA: Davido katuletea nyingine mpya inaitwa ‘If’

Davido, Mwimbaji staa kutokea Nigeria ambaye ameshawahi kuja kutumbuiza kwenye FIESTA Tanzania, tayari…

Millard Ayo

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Alikiba katuletea video ya ‘Aje Remix’

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ametuletea video mpya ya 'Aje remix' aliyomshirikisha M.I kutoka…

Victor Kileo TZA

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Nay wa Mitego ametuletea nyingine “muda wetu”

Karibu Tanzania, karibu kwenye bongofleva.... kiwanda cha muziki wa kizazi kipya kinachotukutanisha…

Millard Ayo

VideoMPYA: Madada 6 wa Mkubwa Fella wametuletea hii “matobo”

Karibu Tanzania, karibu kwenye fleva ya Bongo..... tunao Warembo 6 wanaojiita Wadada…

Millard Ayo

VideoMPYA: Ladies and gentleman tunae Ben Pol na video mpya ‘Phone’

Unakaribishwa kuitazama video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae…

Millard Ayo

VideoMPYA: Chege na Nandy wametuletea hii mpya inaitwa ‘Kelele za Chura’

Mabibi na mabwana bado tunaendelea kuzipata ladha mpya za muziki wa bongofleva…

Millard Ayo

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Diamond Platnumz katuletea hii ‘Marry You’ ft. Ne-Yo

Msanii wa bongofleva Diamond Platnumz anayofuraha kukualika kuitazama video yake mpya aliyomshirikisha…

Millard Ayo

VideoMPYA: Meda wa ‘Barua kwa Diamond’ kamshirikisha Timbulo kwenye hii mpya

Ngoma yenyewe mpya ya Meda Classic Ft. Timbulo inaitwa 'Sidhani' na wameifanyia na video…

Millard Ayo

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Linah ametuletea video mpya inaitwa ‘Kosa Sina’

Ni mwimbaji wa bongofleva Linah Sanga tena kwenye TV zetu, ametusogezea burudani mpya kupitia…

Millard Ayo

VideoMPYA: Dayna Nyange na Billnass wanatualika kutazama ‘Komela’

Mtu wangu ipokee video ya Dayna Nyange akiwa kamshirikisha Billnass,singo hii inaitwa…

Millard Ayo