Fastjet
Coke Studio
NMB Bank - Weka Ushinde
BBA Vote for Idris

Ile video ya Ommy Dimpoz imetoka ni remix ya Tupogo.

Picha hizi zilisambaa miezi michache nyuma ambazo zilikua zikimuonyesha Ommy Dimpoz kama katoka kijijini amekuja mjini,zilizua maswali mengi sana na baadae alisema zilivuja maana zilikua zikihusu tamasha la Serengeti Fiesta. Video yake imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,ndani ya...
Read More »
Scroll To Top