Fastjet

Watu 32 wamefariki kwenye maporomoko ya ardhi

Watu  32 wamefariki katika maporomoko ya ardhi(landslide) katika mkoa wa Hiroshima nchini Japan.Maporomoko hayo yamesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa saa 24 kuamkia Jumatano asubuhi zikiwa sawa na kipimo cha mvua za mwezi mzima imesema mamlaka ya hali ya hewa...
Read More »

Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2014 Tanga.

Huu utakua mkoa wa 4 kwenye list ya miji 18 ambayo watapata nafasi ya kuonja utamu wa Serengeti Fiesta 2014,ilianzia Mwanza ikafuata Bukoba ikasogea hadi Kahama na sasa ni zamu yao Tanga. Tanga itakua ni Jumamosi hii August 23 kwenye...
Read More »
Scroll To Top