Fastjet

Muendelezo wa ile Hekaheka iliyoanza August 06 ni huu.

Inawezekana hukusikiliza kilichoanza kutokea jana sio mbaya nikikukumbusha japo kiufupi ingawa unaweza pia kuisikiliza hiyo hekaheka ya jana August 06 hapa hapa ni kwamba kuna mwalimu mkuu aliwaamrisha watoto kumzomea mama wa mwanafunzi mwenzao. Jana tukapata nafasi ya kusikiliza upande...
Read More »

Magazeti ya leo August 07 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. Ni halali yako kupata kila...
Read More »
Scroll To Top