Fastjet

Balotelli uwanjani jana na mashabiki wake.

Baada ya kukaa kimya kwa muda mfupi, staa wa soka asiyeisha vituko Mario Balotelli amerudi tena kwenye ‘headlines’ za vyombo vya habari ulimwenguni. Balotelli ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani akijiandaa na msimu mpya kwa pamoja na wachezaji wenzie wa...
Read More »
Scroll To Top