Afya ni chakula na namna ya kuishi kwa ujumla. Wataalamu wanashauri kuwa vyakula vifuatavyo ndivyo vyenye virutubisho vingi zaidi mwilini.
10. Maparachichi
9. Mboga aina ya Kale
8. Viazi vitamu
7. Blueberries
6. Almond (Jamii ya karanga)
5. Ma-apple
4. Samaki kibua
3. Oats
2. Kitunguu saumu
1. Brocolli
“Ninahakika nayoongea hapa yanamkera kila mtu” –Anne Malecela