Serikali ya Guinea imemteua aliyekuwa kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu
Waziri Mkuu mpya Mamadou Oury Bah amekuwa mtu mashuhuri katika siasa za…
Ugiriki :Wafanyakazi waandamana kudai majibu ya ajali mbaya zaidi ya treni iliyotokea 2023
Wafanyikazi kote nchini Ugiriki walipanga kufanya maandamano Jumatano kudai majibu mwaka mmoja…
Afrika Kusini yarekodi vifaru 499 waliouawa mwaka 2023
Afrika Kusini ilirekodi vifaru 499 waliouawa mwaka 2023, 51 zaidi ya mwaka…
Changamoto ya kiwango cha kuzaliana kushuka Korea Kusini yatajwa
Kiwango cha uzazi kwa Korea Kusini kilishuka rekodi mwaka jana, licha ya…
Watu 6 wamekamatwa kwa mauaji ya rapa AKA
Polisi wa Afrika Kusini walisema Jumanne kuwa wamewakamata watu sita kwa mauaji…
Korea Kaskazini yabadilishana makombora kwa chakula na Urusi
Viwanda vya kutengeneza silaha vya Korea Kaskazini vinafanya kazi kamili ya kutengeneza…
Watu kadhaa wameuawa katika mashambulizi dhidi ya ofisi ya huduma za ujasusi Chad
Watu kadhaa waliuawa katika shambulio dhidi ya ofisi ya huduma ya kijasusi…
Maonesho sayansi na teknolojia ya wanafunzi kwa mwaka 2024
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuwaongezea utashi walimu na wanafunzi wa shule zote…
Upigaji kura kwa duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais nchini Chad kufanyika Mei 6
Upigaji kura kwa duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais nchini Chad…
Milan itakabiliana na Bayern Munich kutaka kumnunua Theo Hernandez
Bayern Munich wameanza kutafuta saini ya Theo Hernandez, nyota ambaye Milan hawataki…