Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Rwanda wampongeza Magufuli kwa hatua zinazochukuliwa ktk bandari ya Dar, kwa kuimarisha ufanisi na kukuza biashara na nchi jirani #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Mwalimu atumia jina la Zitto, Kikwete kutapeli, atiwa nguvuni kwa kutapeli Dar, Pwani, Lindi na Mtwara #RaiaTANZANIA #FEB 20
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Mchina aliyeshika nafasi ya pili kitaifa kidato cha nne gumzo kila kona, kiasi cha kumfunika aliyeshika nafasi ya kwanza #Mtanzania Feb 20
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Waziri Mkuu Majaliwa abonyeza 'jipu' jipya Bandari ya Tanga, ahoji yalipo Matishari ambayo Serikali ilitoa Dola mil10 yanunuliwe #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Avunja rekodi ya Dunia ya Guiness baada ya kujifungua watoto 14, Baba tofauti #TanzaniaDAIMA #Feb 20
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
NECTA yasalimu amri kwa Prof Ndalichako, yabadili mfumo wa kupanga ufaulu wa matokeo kwa pointi 'GPA' na kurejea mfumo wa zamani #JamboLEO
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Samatta anatarajiwa kushuka tena leo uwanjani wakati timu yake ya Genk itakapokuwa ugenini ktk mechi ya ligi kuu Ubelgiji #MwanaSPOTI
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
TFF yapiga Marufuku silaha Uwanja wa Taifa mechi ya Simba vs Yanga, yaimarisha Ulinzi ili kuhakikisha usalama wa mashabiki #BINGWA
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Malawi yaanza utafiti mafuta Ziwa Nyasa, huku mgogoro wa umiliki wa ziwa Nyasa baina ya Tanzania na Malawi ukiwa haujatatuliwa #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Mawaziri wa Magufuli 'Wakaza Kamba' sasa waungana na Rais magufuli kutumbua majipu, wasiwasi watanda kwa wafanyakazi Serikalini #JamboLEO
— millardayo (@millardayo) February 20, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE