Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amekabidhi magari 25 yenye thamani billion 3.1 za kitanzania kwa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa ajili ya kusimamia miradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu, Waziri Kalemani ametoa onyo kwa watumiaji wa magari hayo kuyatumia katika shughuli elekezi na sio kutumiaka kwa mambo yao binafsi.
Agizo la Waziri wa Madini ndani ya siku saba “Wapelekwe Mahakamani”