Mchekeshaji Emmanuel Mathias maarufu kama MC PILIPILI baada ya kupatwa na ugonjwa wa jicho na baadhi ya watu kusema inawezekana alimchungulia mkwe wake hivyo atafute choo cha shimo akachungulie ili aweze kupona, leo kwenye excliusive interview na Ayo TV ameeleza maamuzi yake ya mwisho aliyoamua.
Mahakamani ilivyopokelewa barua ya kufutwa kazi aliekuwa Mhasibu Mkuu wa TAKUKURU