Leo March 20, 2018 stori kutoka katika Mahakama ya Kisutu ambapo Mfanyabiashara, Hariri Mohammed Hariri (45), mkazi wa Kinondoni, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin gramu 214.11
Akimsomewa mashtaka yake na Wakili wa serikali, Clara Chalwe mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi amedai kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa moja. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.