Kutoka Kigoma leo June 2, 2019 Kijana Hussein Hamis maarufu kwa jina la Orosho anatuhumiwa kwa kuwa kinara wa matukio ya ubakaji na kujeruhi Wanawake, amekuwa akifanya uhalifu huo katika Kata ya Mwanga Kusini na Kaskazini Mkoani Kigoma
Jeshi la Polisi mpaka sasa linawashikilia watuhumiwa 9 wa matukio ya ubakaji maarufu kama Teleza.